Jumamosi, 5 Julai 2014


MAKAO MAKUU YA WILAYA YA KALAMBO  YALIYOKO MATAI MKOA WA RUKWA


MOJA YA KIZUWIA CHA UKAGUZI WA MAZAO YA MISITU  KINACHOJENGWA KATIKA  BARABARA YA  KASANGA SUMBAWANGA 




BOYA (BEACON) LILILOSIMIKWA ILI KUIMARISHA MIPAKA  KATIKA  MSITU WA HIFADHI  YA MTO KALAMBO  WILAYANI KALAMBO MKOA WA RUKWA

SHUGHULI ZA MAENDELEO YA SHAMBA JIPYA LA MITI  MBIZI MKOANI RUKWA ZIMEPAMBA MOTO 







Jumatatu, 7 Aprili 2014


KATIMBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII AKIPATA MAELEKE KEZO KUTOKA KWA MENEJA WA SHAMBA LA MITI KAWETIRE LIPOTEMBELEA SHAMBA HILO


ENEO  JIPYA LILILOPANDWA MITI KATIKA SHAMBA LA MITI KAWETIRE


Jumapili, 23 Machi 2014

HAFLA YA UZINDUZI WA SHAMBA LA MITI MBIZI KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA MKOANI RUKWA




MENEJA SHAMBA LA MITI MBIZI (KUSHOTO) NA MENEJA WA TFS (W) NKASI  KULIA WAKIMPOKEA MGENI RASMI WAKATI WA HAFLA YA USINDUZI WA SHAMBA LA MITI MBIZI.
MGENI RASMI  KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII AKIWASILI ENEO LA SHAMBA LA MITI MBIZI  HUKU AKIPOKELEWA KWA NGOMA YA  JADI YA KIFIPA KUTOKA KWA WENYEJI WA VIJIJI VYA SENGA NA WIPANGA  MANISPAA YA SUMBAWANGA 
  




MGENI RASMI  MH. MAIMUNA TARISHI AKICHEZA NGOMA YA KIFIPA WAKATI WA HAFLA HIYO 




MGENI RASMI  AKIKATA UTEMPE  AKIWA NA MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) WAKATI WA UZINDUZI WA SHAMBA LA MITI JIPYA  MKOANI RUKWA.



MENEJA WA SHMBA LA MITI MBIZI AKIMSAIDI MGENI RASMI  KUKATA KIRIBA  WAKATI AKIPANDA MTI KATIKA SHAMBA LA MITI MBIZI SIKU YA SHEREHE ZA UZINDUZI


MTENDAJI MKUU WA  TFS AKISHIRKI UPANDAJI MITI SIKU YA UZINDUZI WA SHMBA LA MITI MBIZI


MSEMAJI  WA  WIZARA YA MALIASILI NA UTALII NDG. NURUDIN CHAMUYA AKIPANDA MTI WAKATI WA HAFLA HIYO.

MKUU WA WILAYA YA SUMBAWANGA AKIPANDA MTI  WAKATI WA UZINDUZI WA HAMBA LAMITI MBIZI
MPAKA JESHI LA POLISI MKOA WA RUKWA  LILISHIRIKI KIKAMILIFU

WANANCHI NAO HAWAKUACHWA NYUMA 
ENEO LA SHAMBA  LILILOPANDWA MITI

MTENDAJI MKUU WA TFS AKITOA SALAM  NA PONGEZI ZA  KWA WANANCHI
KATIBU TAWALA WILAYA YA SUMBAWANGA  AKIWATAMBULISHA WAGENI WALIOANDAMANA NA UONGOZI WA MKOA WA RUKWA.
MMENEJA WA MASHAMBA YA MITI YA RUBYA NA SAOHILI WAKICHEZA NGOMA YA KIFIPA.
MGENI  RASMI AKITOA HOTUBA 


MKUU WA WILAYA YA SUMBAWANGA AKITOA HOTUBA

ZAWADI YA MWANVULI ILIYOANDALIWA NA KIKUNDI CHA MAZINGIRA (REO) CHA MJINI SUMBAWANGA

MGENI RASMI AKIPOKEA ZAWADI  KUTOKA KWA MWENYEKITI WA REO

MWENYEKITI WA REO NDUGU KIDEVU
MC WA HAFLA HIYO NDUGU HAJI MPYA.