Ukaguzi wa miundombinu ya utalii katika maporomoko ya Kalambo |
Watumishi wa kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakijaribu kutumia miundombinu ya utalii kuelekea kwenye maporomoko ya mto Kalamuta |
Maporomoko ya Kalambo yanavyoonekana ukiwa upande wa chini |
MAKAO MAKUU YA WILAYA YA KALAMBO YALIYOKO MATAI MKOA WA RUKWA |
MOJA YA KIZUWIA CHA UKAGUZI WA MAZAO YA MISITU KINACHOJENGWA KATIKA BARABARA YA KASANGA SUMBAWANGA |
BOYA (BEACON) LILILOSIMIKWA ILI KUIMARISHA MIPAKA KATIKA MSITU WA HIFADHI YA MTO KALAMBO WILAYANI KALAMBO MKOA WA RUKWA |
SHUGHULI ZA MAENDELEO YA SHAMBA JIPYA LA MITI MBIZI MKOANI RUKWA ZIMEPAMBA MOTO |
KATIMBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII AKIPATA MAELEKE KEZO KUTOKA KWA MENEJA WA SHAMBA LA MITI KAWETIRE LIPOTEMBELEA SHAMBA HILO |
ENEO JIPYA LILILOPANDWA MITI KATIKA SHAMBA LA MITI KAWETIRE |
MENEJA SHAMBA LA MITI MBIZI (KUSHOTO) NA MENEJA WA TFS (W) NKASI KULIA WAKIMPOKEA MGENI RASMI WAKATI WA HAFLA YA USINDUZI WA SHAMBA LA MITI MBIZI. |
MGENI RASMI KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII AKIWASILI ENEO LA SHAMBA LA MITI MBIZI HUKU AKIPOKELEWA KWA NGOMA YA JADI YA KIFIPA KUTOKA KWA WENYEJI WA VIJIJI VYA SENGA NA WIPANGA MANISPAA YA SUMBAWANGA |
MGENI RASMI MH. MAIMUNA TARISHI AKICHEZA NGOMA YA KIFIPA WAKATI WA HAFLA HIYO |
MGENI RASMI AKIKATA UTEMPE AKIWA NA MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) WAKATI WA UZINDUZI WA SHAMBA LA MITI JIPYA MKOANI RUKWA. |
MENEJA WA SHMBA LA MITI MBIZI AKIMSAIDI MGENI RASMI KUKATA KIRIBA WAKATI AKIPANDA MTI KATIKA SHAMBA LA MITI MBIZI SIKU YA SHEREHE ZA UZINDUZI |
MTENDAJI MKUU WA TFS AKISHIRKI UPANDAJI MITI SIKU YA UZINDUZI WA SHMBA LA MITI MBIZI |
MSEMAJI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII NDG. NURUDIN CHAMUYA AKIPANDA MTI WAKATI WA HAFLA HIYO. |
MKUU WA WILAYA YA SUMBAWANGA AKIPANDA MTI WAKATI WA UZINDUZI WA HAMBA LAMITI MBIZI |
MPAKA JESHI LA POLISI MKOA WA RUKWA LILISHIRIKI KIKAMILIFU |
WANANCHI NAO HAWAKUACHWA NYUMA |
ENEO LA SHAMBA LILILOPANDWA MITI |
MTENDAJI MKUU WA TFS AKITOA SALAM NA PONGEZI ZA KWA WANANCHI |
KATIBU TAWALA WILAYA YA SUMBAWANGA AKIWATAMBULISHA WAGENI WALIOANDAMANA NA UONGOZI WA MKOA WA RUKWA. |
MMENEJA WA MASHAMBA YA MITI YA RUBYA NA SAOHILI WAKICHEZA NGOMA YA KIFIPA. |
MGENI RASMI AKITOA HOTUBA |
MKUU WA WILAYA YA SUMBAWANGA AKITOA HOTUBA |
ZAWADI YA MWANVULI ILIYOANDALIWA NA KIKUNDI CHA MAZINGIRA (REO) CHA MJINI SUMBAWANGA |
MGENI RASMI AKIPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MWENYEKITI WA REO |
MWENYEKITI WA REO NDUGU KIDEVU MC WA HAFLA HIYO NDUGU HAJI MPYA. |